myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Dawa ya rais wa Madagascar kwa nini hatujaijaribu?Tunajitahidi kutokukata tamaa ila hali inavyoendelea ndio inakatisha tamaa.
Tutakaa muda gani bila dawa wala chanjo!??inasikitisha sana mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya rais wa Madagascar kwa nini hatujaijaribu?
Wazungu wanapambana usiku na mchana tusubirini wagundue chanjo. Shida wakitaka kuja kutufanyia majaribio ili waone kama chanjo hiyo inatufaa hata sisi tunapiga makelele kuwa tunageuzwa guinea pigs. Sisi ni shida kwa kweli !!!
View attachment 1436595