myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wakishua nilikuona ulivyokua unashambulia cheiiii hahahaha
Dawa ya nini?muhogo wa moto ni Dawa....
Nshachoka maana magrup ya PM nilialikwa mengi mno kila day naleft tu. Bado tags kwenye uzi kama zote cheiiiiHahaha unapita kimya kimya hata kukojoa tu nako hutaki..
Dawa ya kutetemeka mwili kwa baridi....Dawa ya nini?
AiseeNshachoka maana magrup ya PM nilialikwa mengi mno kila day naleft tu. Bado tags kwenye uzi kama zote cheiiii
Haha unataka ukafanyaje hukoUzi gani huo ??
AiseeDawa ya kutetemeka mwili kwa baridi....
Duh jiraniiiiiDawa ya kutetemeka mwili kwa baridi....
Mtani[emoji113][emoji113]
HahahaNimeona milioni hapo kwenye Temple Run nimechoka kabisa mana mie ni mwendo wa 10000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha surgical barakoa au clothes? Ama barakoa kama barakoa
ASANTE shemeji. Nafurahi kukusikia.Shemeji mimi sijambo kabisa namshukuru Mungu,ni vile nimebanwa kiasi.
Habari ya huko uliko?mnaendeleaje na lockdown?
#thanksforcaring[emoji120][emoji120]
#blessings
[emoji16][emoji16][emoji16]Kushea ziwezi napenda nifaidi peke yangu
Kwa hivyo huyu siyo Korona naona....