Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Natumaini ni hivyo.Labda wamekufa vifo vya kawaida tu. Akina Rwakatare mbona nao wakubwa lakini walizikwa na watu chini ya 10? Natumaini wanapima na kujiridhisha kwanza...God help us please [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huo ni ukorofi shem. Achana na tabia hiyo mara moja....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa naona hamjatuzingatia sisi tunaosomaga txt zetu tena
Mwanga huko nasikia hali siyo nzuri sababu ya mafuriko. Huu mwaka una changamoto nyingi sana na ndiyo kwanza tumeanza Mei.
View attachment 1436910
Mwaka ulianza na nzige huu...hovyo kabisa yaaniHali tete sana hapo, unakoswa koswa na tope toka milimani unawindwa na corona.
Mungu atunusuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtapeli tapeli ni kazi sana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna tapeli alikuwa anajaribu kunitapeli bila kujua kuwa nami ni tapeli. Ameishia kuadhirika vibaya [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulijaribu kamanda?
Hakuna kazi rahisi kama kumtapeli tapeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app