Shirika la ASfya duniani -WHO linasema watu wanaobeba jeneza wanapaswa kuvaa mavazi ya kinga na wanapaswa kunawa mikono yao
Kwa mujibu wa Shirika la afya duniani (WHO), iwapo tahadhari muhimu zitachukuliwa , hakunasababu ya kuogopa kusambazwa kwa Covid-19 kupitia miili ya wafu.
Virusi vya Sars-CoV-2 , ambavyo ndivyo vinavyosababisha ugonjwa, huenezwa zaidi kwa njia ya cheche za mate au ute unaotoka kwa binadamu, kwa mfano wakati tunapozungumza kupiga chafya au kukohoa.
Hatahivyo , vinaweza kuishi kwa hadi siku kadhaa kwenye vitu fulani vigumu.