Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WHO inasema kwamba "hadhi ya mfu, tamaduni zao na uamaduni zao za kidini, pamoja na familia zao vinapaswa kuheshimiwa na kulindwa wakati wote ".
Lakini huku mkanganyiko ukisambaa, hili limemeonekana kuwa jambo gumu sana katika baadhi ya maeneo ya dunia.
 
Ecuador ni nchi ya pili iliyoathiriwa zaidi na korona katika bara la Amerika Kusini, nyuma ya Brazil. Mifumo ya afya imeshindwa kuhimili shinikizo la ugonjwa, majeneza na miili ya watu waliokufa imekua iliachwa kwa siku kadhaa kwenye mitaa kutokana na kufurika kwa hifadhi za maiti.
 
Ecuador ni nchi ya pili iliyoathiriwa zaidi na korona katika bara la Amerika Kusini, nyuma ya Brazil. Mifumo ya afya imeshindwa kuhimili shinikizo la ugonjwa, majeneza na miili ya watu waliokufa imekua iliachwa kwa siku kadhaa kwenye mitaa kutokana na kufurika kwa hifadhi za maiti.
 
Hospitali zimekua zikipeleka miili ya watu katika karakana ambazo hazina viyoyozi na miundombinu inayofaa katika kuhifadhi maiti.
"Hata sisi, ambao tumezowea kushuhudia hali halisi ya kifo , ni vigumu kuingia katika karakana kutambua mwili. Maiti zilikua zinapasuka na kutoa vimiminika baada ya saa 24 ," anasema Terán.
 
Kwingineko , picha za makaburi ya watu wengi mjini New York, katika jiji la Brazili la Manaus au Istanbul ziligonga vichwa vya habari.
Lakini ukweli ni kwamba ukatili wa kifo cha virusi vya cororona haupaswi kusababisha watu waliokufa kwa corona kutoiagwa kwa hadhi ya utu walionao, inasema WHO -na kuwaruhusu wapendwa wao kuwa na fursa ya kuomboleza.
 
Maafisa wanapaswa kushughulikia ipasavyo kila hali kulingana na kwa misingi ya utofauti wa kisa na kisa cha corona, kutathmini uwiano wa haki za familia ya marehemu , haja ya kuchunguza sababu ya kifo, na hatari ya kusambaza maambukizi ," linasema shirika hilo.
 
Mbona sioni traits za upole kama ninavyoziona za utundu.

Kuharibu vitu Na kuviweka/ kuviacha ndivyo sivyo tofauti na ulivyokuta sio utundu, huko ni kutokuwa mstaarabu

Sababu mind yako ushai tune kwamba mimi sii mpole bali ni mtundu ndiyo maana...

😉😎

Ustaarbu ni kujali na kujijali...


Cc: mahondaw
 
Matumizi ya pombe wakati unatumia dawa za kundoa maumivu kama asprini na ibuprofen huweza kusababisha vidonda vya tumbo, unapotumia na Panadol ini hueza kuatharikia (hepatotoxicity)hata kwa kwa dose kidogo tu ya Panadol.
 
Back
Top Bottom