Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nitumie mimi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Natamani hapa pangekuwa WhatsApp nikutumie sticker ya wakulungwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Juisi ya fenesi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah aiseee. Leo sina mood ya kubishana nimejisahau nikala mapapai na juisi ya fenesi
Ndo kama umeyaanzisha tenaHaya Mambo yataisha lini?
Kwa kudandia tu hujamboNitumie mimi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(Ndo nshadandia hivyo [emoji16][emoji16][emoji16])
Kwa kweli hata mimi huwa najishangaa. Nahitaji maombi kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kudandia tu hujambo
Nikuletee sheikh kipoozeo au mchungaji Gwajima?Kwa kweli hata mimi huwa najishangaa. Nahitaji maombi kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Njoo mwenyewe. Tuombe mpaka quarantine iishe nitakuwa nishaachana kabisa na tabia hii.Nikuletee sheikh kipoozeo au mchungaji Gwajima?
Kwanza umeshazingua huko ujue 😀 rekebisha kwanza halafu niendeleeNjoo mwenyewe. Tuombe mpaka quarantine iishe nitakuwa nishaachana kabisa na tabia hii.