Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juisi ya fenesi?
Ankoo kapotea ila hapa lazima angetia neno [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Labda huko kwenye app huku kwenye browser ukimpiga ignore humuoniJf rekebisheni option ya ku ignore bhana
Unamu ignore mtu halafu ana ku quote ndo nini sasa[emoji34][emoji34][emoji34]
Ongezea na kitunguu swaumu wee mbona minyoo itakimbia yenyeweMwenzio wiki yote hii natafuna tangawizi tu
Yaan huku napata notification kabisa ukiangalia ni member uliye mblockLabda huko kwenye app huku kwenye browser ukimpiga ignore humuoni
Duh aiseee halafu hadi mtu umuweke ignore basi kakukasirisha viibaya mno. Au mwenzeru huwa na ligi za chini chini?natamani kuziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan huku napata notification kabisa ukiangalia ni member uliye mblock
Aaaggrrrπ‘π‘π‘π‘π‘
Hili suala huwa linapigiwa kelele sana sijui kwa nini hawalichukui kwa uzito unaostahili. Inakera sana yaaniJf rekebisheni option ya ku ignore bhana
Unamu ignore mtu halafu ana ku quote ndo nini sasa[emoji34][emoji34][emoji34]
Sinaga ligi mimi bhana πππDuh aiseee halafu hadi mtu umuweke ignore basi kakukasirisha viibaya mno. Au mwenzeru huwa na ligi za chini chini?natamani kuziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama notifications tu zinawatoa jasho haya mengine sidhan kama watawezarekebisha
Mods wanazingua sana na hii option maana haina maana kama mtu umemuweka kwenye hilo kapu halafu ana like na ku quote comments zako.Hili suala huwa linapigiwa kelele sana sijui kwa nini hawalichukui kwa uzito unaostahili. Inakera sana yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mtu mpaka atupiwe humo daah anakua nunda balaa kwenye kukuudhiSinaga ligi mimi bhana πππ
App inazingua sana wakati mwingine