Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barakoa za upasuaji (surgical masks) hizi zinapaswa kuvaliwa na watumishi wa afya ambao hawana direct contact na wagonjwa. Barakoa hizi pia zinaweza kuvaliwa na jamii kwenye maeneo ya mikusanyiko kwa muda wa masaa 4-6. hizi hazipaswi kuvaliwa kutwa nzima na kurudia matumizi
 
Barakoa za kitambaa (cloth masks) *hazina ubora wa kinga kama N-95 au surgical masks*, lakini *zinaweza kutumika kupunguza uwezekano wa maambukizi toka kwa mtu mmoja kwenda mwingine majumbani na sehemu za mikusanyiko*.
 
Kuna wale wanaofua sasa😂😂huku mtaan ni raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…