Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hiyo ya kuvua barakoa hadi videvuni wengi wanafanya sasa ukute wale wenye midevu ndo daah!!unabaki kusikitika tu.Corona imetufundisha vingi[emoji23][emoji23]taarifa ya habari hasa tbc unakosa uhondo,afande anatoa habari za uhalifu huku kashusha barakoa hadi kidevuni
Mie natumia UCcarbamazepine unatumia browser gani?naona kule kwa davet thread mnalalamika browser nayo inawazingua
Hiyo ya kuvua barakoa hadi videvuni wengi wanafanya sasa ukute wale wenye midevu ndo daah!!unabaki kusikitika tu.
Kuna watu nimeona wameshona mifuko wengine kitambaa cha satini,yaani hii corona imejua kutuonyesha mambo😂😂