The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Sema sijawah tumia app hivyo sielewi utamu wake. Ila browser tamu. Page unafungua vizuri tu.Mie natumia UC
Kule wanalalamika app ndo inazingua na wengi browser hawaja/hatuja zoea.
Hizi habari za kugungua pages ndo zinatushinda
Browser ni nzur zaid kuliko app. Ntaendelea kuelewa hivyoSema sijawah tumia app hivyo sielewi utamu wake. Ila browser tamu. Page unafungua vizuri tu.
Zilivyoshonwa sasa na zinavyovaliwa ndo mtihani zaidi.Corona imetupa uvumbuzi kuna mask za hii mifuko mipya badala ya ile chakachaka,kuna mask za turubai,yaan huu ugonjwa umekosea njia.
Browser ni nzur zaid kuliko app. Ntaendelea kuelewa hivyo
App haina kufungua pagesSema sijawah tumia app hivyo sielewi utamu wake. Ila browser tamu. Page unafungua vizuri tu.
Hee kumbe duh sasa mnafanyaje next page kama kule k t ama?App haina kufungua pages
[emoji23][emoji23][emoji23]Zilivyoshonwa sasa na zinavyovaliwa ndo mtihani zaidi.
Kuna nyingine zinaziba pua tu😂😂
Huku ni mwendo wa up and down tu.Hee kumbe duh sasa mnafanyaje next page kama kule k t ama?
✔✔