Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huwezi kujua, huenda ni mfanyabiashara ya utalii na hivyo silaha zote zikawa zinatambulika kisheria.Hao ndio wanaotoa silaha kwa ujambazi iweje ukae na silaha nyingi hivyo, kwa kivip,
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana ni kinara wa biashara haramu ya meno ya tembo na madini...Pesa za kumwaga halafu...View attachment 1441792
Hatari mkuu lakiniHuwezi kujua, huenda ni mfanyabiashara ya utalii na hivyo silaha zote zikawa zinatambulika kisheria.
Sidhani kama mbunge mwenye heshima kama yeye anaweza kuwa jangili, sidhani
SiaminiView attachment 1441872
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii account Zitto amekuwa akiilalamikia kila mara, sijui kwanini aliye andika hivyo hajatumia account yake halisi!!
Huyu na libunge langu Joka Makengeza wana pesa ndefu sana hakuna wa kuwatoa kwenye ubunge mpaka wachoke wenyewe tu. Labda hii skendo itamwondoa huyu mwamba...Siasa ni mchezo mchafu sana !!!
Zingekuwa zinatambulika kisheria wasimgemkamata,Mbunge mwenye wadhifa ukiona hadi Walimwengu tunajua kuna tatizo katika kumiliki.Huwezi kujua, huenda ni mfanyabiashara ya utalii na hivyo silaha zote zikawa zinatambulika kisheria.
Sidhani kama mbunge mwenye heshima kama yeye anaweza kuwa jangili, sidhani
SiaminiView attachment 1441872
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi kunawaka moto....
View attachment 1441801