Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama yeye ni guide kwenye sekta ya utalii ni rahisi sana kwake kujipatia kesi ya jinai.
Maana ukichelewa kutoa utambulisho na taarifa za mara kwa mara lazima iwe hivyo.
Ila kwakuwa suala lipo kwenye vyombo vya haki kila kitu kitajulikana na haki itatendeka
Inasemekana ni silaha 6 kati ya silaha 16 ndio anazimiliki kisheria, maana yake silaha 10 ana miliki kinyume cha sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…