Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shamba kubwa la majani
FB_IMG_1588716703749.jpeg
 
Hata wazungu nao wana mapungufu mengi tu.
Wanaweza kutudharau kwenye mila kama hizo lakini nasi tutawadharau kwa mila zao kama hizi hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Waende zaoView attachment 1442214View attachment 1442215
Nafikiri unashindwa kutofautisha kitu kimoja. Kwa wazungu hapo hakuna anayelazimishwa wanafanya hivyo kwa kupenda wao wenyewe ila waafrika hapo wanawake wanalazimishwa kupigwa hivyo viboko hakuna anayependa na hawawezi kukataa.

Kiukweli kwa mila kama hizo sijawahi kujivunia kuwa muafrika na sitakaa nijivunie. Waafrika wengi ni washenzi sana na naomba tuendelee kudharauliwa hadi mwisho wa dunia.
 
Nimewahi kuangalia documentary iliyogusia hili swala.Pia wanawake wanavyochapwa wanakua na alama za fimbo zinazobaki mwilini(ni kama damu inakusanyika hivi) na mwanamke mwenye maalama mengi anajiona yeye ndiye the best.

Mpendwa katafute kiboko mwenyewe😀😀
Mpendwa nilivyo muoga laiti ningekuwa kwenye utamaduni huo kwa kweli nisingeolewa.
 
Back
Top Bottom