Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata wazungu nao wana mapungufu mengi tu.
Wanaweza kutudharau kwenye mila kama hizo lakini nasi tutawadharau kwa mila zao kama hizi hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Waende zaoView attachment 1442214View attachment 1442215
Nafikiri unashindwa kutofautisha kitu kimoja. Kwa wazungu hapo hakuna anayelazimishwa wanafanya hivyo kwa kupenda wao wenyewe ila waafrika hapo wanawake wanalazimishwa kupigwa hivyo viboko hakuna anayependa na hawawezi kukataa.

Kiukweli kwa mila kama hizo sijawahi kujivunia kuwa muafrika na sitakaa nijivunie. Waafrika wengi ni washenzi sana na naomba tuendelee kudharauliwa hadi mwisho wa dunia.
 
Mpendwa nilivyo muoga laiti ningekuwa kwenye utamaduni huo kwa kweli nisingeolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…