Maisha ni mafupi na hatuwi kamwe na muda wa kutosha kuwafurahisha wale amba tunasafiri nao njiani. Ee, uwe mwepesi wa kupenda! Uwe mwepesi wa kuwa mkarimu,” alisema Henri Frederic.
Kama umekuwa ukitenda kana kwamba una miaka elfu ya kuishi, ukiyapa maisha maana ya kuwa ni mafupi, unakuwa na hekima. Mtazamo huo utabadili maisha yako.
Alishtuka kugundua kuwa asilimia 94 ya watu walikuwa wanaivumilia leo wakiingojea kesho; wakingojea kitu fulani kitokee; wakingojea watoto wakue na kuacha nyumbani; wakingojea mwaka ujao; wakingojea muda ujao kutimiza ndoto yao ya kusafiri; wakingojea mtu fulani kuaga dunia; wakingojea kesho bila kutambua kuwa kila mtu alichonacho ni leo kwa sababu jana imeondoka na kesho haiji,” alisema Douglas Lurton
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.