Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Pepsi Max...Chupa ya kinyamwezi.
#IshimpakaMax
#IshimpakaMax
Thats so sadKwa kweli tujitahidi kujifungia,leo niliitamani "sanitizer ya ubongo" nikaenda barabarani Ilomba stand kununua,ile nageuza nafika njia panda Isyesye/Machinjioni namuona kijana anataabika,wenye viherehere hatukuruhusiwa kushuka kutoa msaada.
Hakuchukua muda,kijana mdogo sana kati ya 20 na 25 kiumri... Ametwaliwa kwa mateso sana [emoji120][emoji120]
Tutulie majumbani... Sanitizer yenyewe nainywa hata hainogi
Sent using Jamii Forums mobile app
True story?
Watu wanatoa ushuhuda wao hapo, unachekesha sana! 😁Uzi mzuri huu
Njema sheikh
Inasikitisha... Watu tunahangaika na Corona sasa hivi, machinjio ya pale Chang'ombe yamehamia huko siku hizi?
Dahh!!Inasikitisha... Watu tunahangaika na Corona sasa hivi, machinjio ya pale Chang'ombe yamehamia huko siku hizi?
Hahaa, wahuni walikuwa wanasema kuwa ile sanamu ya Bikira Maria pale Kanisani Chang'ombe ilikuwa inawatisha madereva. 😁 😁Dahh!!
Poti umenikumbusha mbali sana ujue...
Yaani pale Kibasila sijui palikuwa na nini sijui!! Na sisi wanywa pombe za kienyeji tunatoka kujilipua vilabuni huko Keko tolori/magurumbasi/mwanga/machungwa ile kuvuka tu hapo kosa, gari za Azim Dewji hizooo na utumbo wa mlevi na kangala/kimpumu/kyindi/mkangafu wake....
Corona imechukua nafasi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mjinga sanaHahaa, wahuni walikuwa wanasema kuwa ile sanamu ya Bikira Maria pale Kanisani Chang'ombe ilikuwa inawatisha madereva. [emoji16] [emoji16]