Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafuriko hayo yameiumiza zaidi nchi ya Kenya hasa baada ya taifa hilo pekee kupoteza watu 194
FB_IMG_1588881082142.jpeg
 
NYOTA wa zamani wa Chelsea, Solomon Kalou ameiomba radhi klabu yake ya Hertha Berlin, baada ya kugundulika alivunja kanuni ya kuepuka mikusanyiko dhidi ya wachezaji wenzake katika kipindi hiki cha kujilinda na maambukizi ya virusi vya corona.
 
Kalou alichapisha kipande cha video katika ukurasa wake wa Facebook, ambayo ilimuonesha akivunja kanuni hiyo ya kuepuka mikusanyiko, baada ya kumshika mkono mchezaji mwenzake wakati wanafanyiwa vipimo, video ambayo hata hivyo ameifuta.
 
Mkurugenzi wa michezo na mawasiliano wa klabu hiyo Michael Preetz, kitendo hicho cha Kalou sio tu kinatoa taswira mbaya kwa timu hiyo, bali hata kwa baadhi ya wachezaji mmoja mmoja wanaonesha hawana umakini katika kukabiliana na virusi vya corona.
 
Baada ya Kalou kuonesha uungwana huo, kinachosubiriwa ni mapokezi ya klabu yake juu ya msamaha huo kama itamruhusu kuendelea na mazoezi katika kipindi hiki ambacho wachezaji wamereja mazoezi kumaliza mechi zilizobaki za Ligi Kuu nchini humo
 
Mlinda mlango wa Real Madrid, Thibaut Courtois amesema haitakuwa haki hata kidogo kama Barcelona watapewa ubingwa wa Ligi Kuu Hispania (La Liga), endapo msimu huu utashindwa kumalizika kutokana na janga la virusi vya corona.
 
Kama La Liga itashindwa kukamilika, kuna uwezekano Barcelona anayoichezea Lionel Messi itapewa ubingwa kutokana na kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Madrid, timu ambayo Courtois anaamini ipo kwenye kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom