Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Willian alihitaji kubaki kwenye kikosi cha Stamford Bridge hadi mwaka 2023, lakini jambo hilo halionekani kutokea kwa sababu The Blues hawataki kumpa mkataba wa aina hiyo mchezaji ambaye tayari ameshaingia kwenye kundi la wenye umri unaonzia miaka 30.
 
Kwa mujibu wa beIN Sports, jambo hilo limewafanya Spurs kuingia haraka kwenye kuifukuzia saini yake na kinachoelezwa ni kwamba Willian, 31, amefanya mazungumzo na kocha Jose Mourinho, ambaye aliwahi kuwa chini yake huko Stamford Bridge.
 
Kwa kuongezea, mke wake, Walmart Heiress Ann Walton Kroenke, ameona kiwango hicho cha fedha kinaongezeka kwa zaidi ya Pauni 97 milioni.
Wakati wa kutangaza kupunguzwa kwa mishahara yao mwezi uliopita, Arsenal walitoa taarifa isemayo : "Akiba itakayokuwa ukihifadhiwa itasaidia kufunika baadhi ya hatari za kifedha tulizonazo msimu huu.
 
Back
Top Bottom