Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Virus vya Corona vimeishambulia Marekani kwa nguvu na kuipa majeraha makubwa kuliko makombora ya Japan kwenye bandari ya Pearl wakati wa vita kuu ya pili ya Dunia.
Nguvu ni kubwa kuliko mashambulizi ya kigaidi ya septemba 11" ---Donald Trump
 
Thats so sad
 
Inasikitisha... Watu tunahangaika na Corona sasa hivi, machinjio ya pale Chang'ombe yamehamia huko siku hizi?
Dahh!!
Poti umenikumbusha mbali sana ujue...
Yaani pale Kibasila sijui palikuwa na nini sijui!! Na sisi wanywa pombe za kienyeji tunatoka kujilipua vilabuni huko Keko tolori/magurumbasi/mwanga/machungwa ile kuvuka tu hapo kosa, gari za Azim Dewji hizooo na utumbo wa mlevi na kangala/kimpumu/kyindi/mkangafu wake....
Corona imechukua nafasi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa, wahuni walikuwa wanasema kuwa ile sanamu ya Bikira Maria pale Kanisani Chang'ombe ilikuwa inawatisha madereva. 😁 😁
 
Hahaa, wahuni walikuwa wanasema kuwa ile sanamu ya Bikira Maria pale Kanisani Chang'ombe ilikuwa inawatisha madereva. [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mjinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…