myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!Msemaji wa serikali ya Kenya Cyrus Oguna, amesema serikali imepata wakati mgumu kuwaokoa wananchi wake kwa mafuriko kwenye kipindi hiki kigumu cha kuwalinda watu hao dhidi ya maradhi ya CoronaView attachment 1443116
Aisee"Samahani kama nilionesha kutochukulia corona kwa umakini mkubwa, bali nilifanya vile kuonesha furaha ya vipimo vyetu kuwa vilikuwa hasi"- amesema Kalou.
[emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa draft lile,maandalizi muhimuπππ nguo za kwenda kufanya maangamizi sio?
#usikamieshowwewe
Kanikumbusha dogo mmoja mwanzon alifurahia shule ila saiv anafurahia magu kuzifunga kwa muda mrefu.Sana πππ
Jamaa kaelezea vizuri kisa chake.Anadai alifunga kitasaππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heh[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmecheka comment za humo, watu wanazunguka sana round about ya Msamvu[emoji23][emoji23]