Jaguar ni mojawapo ya Mnyama Jamii ya Paka ambae Ananguvu sana. Anapenda sana Maji tofauti na Wanyama wengine Jamii Yake. Mng'ato wake una nguvu kubwa, aking'ata mara moja Tu, kama ni katika kichwa Basi kichwa kizima kinapasuka.
Dar Es Salaam ndio mji wa Pili kwa Africa kwa Wanaume Waoga zaidi. Mji wa Kwanza ni Lusaka, Zambia. Hiyo ni kwa Mujibu wa mtandao wa City Pages ulioendesha Utafiti huo.
Baada ya kukataliwa kuvaa kaptura kazini kipindi cha joto mwaka 2013, madereva wa kiume wa mabasi na treni nchini Sweden waliamua kuvaa sketi. Ilikuwa vigumu kuwazuia kwa sababu ingekuwa ni ubaguzi kuwaruhusu wanawake wavae sketi halafu wanaume wakataliwe.
Chanzo:BBC
Mwanamuziki Taylor Swift amewahi Kuachia Kwa Bahati Mbaya Kipande cha sauti Ambacho Kilikua Na Sekunde 8 Tu Ambazo Ni Kelele za Chini Zilikua Zikisikika. Nchini Canada Sauti Hiyo ilikamata Namba 1 Katika Chati Za iTunes.