Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Doctor mimi nakosa usingizi sana lakini sinenepi nini shidaKwa hiyo, kadri utakavyokosa usingizi ndivyo hivyo hivyo mwili wako utataka kula zaidi.
Mie sio doctor mkuu. Kwan unataka kunenepa?sio wote wanaopata usingizi au kukosa wananenepaDoctor mimi nakosa usingizi sana lakini sinenepi nini shida
😂😂sitaki unene ila nikitaka unipe maelezo yakitaalamu kam ulivyoanzaMie sio doctor mkuu. Kwan unataka kunenepa?sio wote wanaopata usingizi au kukosa wananenepa
😂😂sitaki unene ila nikitaka unipe maelezo yakitaalamu kam ulivyoanza
Ukipata unene utakufa kwa corona😂😂sitaki unene ila nikitaka unipe maelezo yakitaalamu kam ulivyoanza