myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh h!!Real Madrid wameambia Arsenal kufanya uamuzi kufikia tarehe 15 mwezi Juni iwapo wako tayari kumuuza mshambuliaji nyota wa klabu hiyo Pierre-Emerick Aubameyang, 30, ambaye amesalia na mwaka mmoja katika kandarasi yake (Sunday Mirror)