moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kuanzia kesho may 11 2020, nitaufunga mpaka wetu na Tanzania huko Nakonde-Tunduma ili kupunguza muingiliano wa watu katika harakati zetu za kupunguza maambukizi ya Corona.
Edgar Lungu.
Rais wa Zambia
Edgar Lungu.
Rais wa Zambia