Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo ni siku ya mama. Tuendelee kushukuru na kutambua mchango wao katika familia na jumuiya zetu. Katika kipindi hiki cha #COVID19 wao wameendelea kuwa mstari wa mbele. Leo tenga muda nenda kwa mama au mpigie simu mwambie unampenda. Waliotangulia mbele za haki, Mungu awape pumziko jema.[emoji120][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]

Kwa mama wote mliomo humu Happy Mother's day na Mungu Awabariki sana. Bila nyinyi we are nothing [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…