4.Husaidia kuongeza vitamin ndani ya mwiili A B n CVitamin A,b na C huongeza kinga ya mwili na kukupatia nguvu za kutosha,Unaweza kutengeneza juice ya tango ukichanganya na spinach pamoja na karoti kuifanya nzuri na yenye nguvu Zaidi,vitamin c ni nzui kwa ngozi asilimi 12 inashauriwa