Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

11.Inatibu kabisa hangover

Kuepuka kuumwa kichwa asubuhi au hangogver unaweza ukatafuna vipande kadhaa vya matango kabla ya kwenda kulala,Matango yana vitamin B ya kutosha ,sukari na electrolyte ambayo inalishe za muhimu ambaz zinasidia kuondoa hangover na maumivu ya kichwa
 
14.Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti presha

Matango yana hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pi yana compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…