cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hapana chezea chatting, mama wa kisukuma siku ya kwanza kutumia smartphone
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Za wapi hizi..
😂😂😂Jiji la Morogoro View attachment 1446326
Ntaweka kesho jioni. Ila insta kuna page inaitwa mapishi.kwa.picha ipo vizuri mno. Sema ukigoogle hauipati mpaka uingie kwa page nyingine kisha usearch
Nimekaonea huruma katoto hako maskini
Mapishi kwa picha, ngoja niicheki. Sijakuelewa hapo uliposema mpaka uingie kwa page nyingineNtaweka kesho jioni. Ila insta kuna page inaitwa mapishi.kwa.picha ipo vizuri mno. Sema ukigoogle hauipati mpaka uingie kwa page nyingine kisha usearch