Njia mbaya za kuondoa msongo wa mawazo Hebu tazama njia ambazo baadhi ya watu hutumia, njia ambazo hupunguza tatizo kwa muda mfupi na kulifanya tatizo kuwa kubwa zaidi baadaye:·
Kuvuta sigara·
Kunywa pombe sana·
Kula sana au kula kidogo·
Kukaa kwenye TV au kompyuta, saa nyingi sana·
Kujitenga na marafiki, familia na shughuli·
Kutumia vidonge·
Kulala sana·
Kuahirisha mambo·
Kujishughulisha saa zote kuepuka matatizo·
Kuwatulia wengine msongo wao (kubwatuka, kufoka, kupigana)