Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The best kind of people are
the ones that come into your life
and make you see sun where
you once saw clouds.
The people that believe in you so much,
you start to believe in you too,
simply for being you.
The once in a lifetime kind of people.



Good night fam[emoji179][emoji179]
 
Bado tunaongelea half cake au kitu kingine? Akili zangu hizi dah !!!

Naomba moja yenye sura mbaya nami nionje huo utamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870]

View attachment 1447187
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili za usiku hizo. Ila hiyo tabia kwenye picha nilikuwa naichukia balaa, hivi bado watu wanafanya? Halafu hufanywa na wababa wale watu wazima wanaopenda vitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria iko hivyo, lakini jambo jema mh Spika amasema hawezi kulinda udikteta ndani ya Chadema.
Kwamba yeye ndiye anayeapisha wabunge, kwahiyo hawezi kusitisha ubunge wa mbunge yeyote ayeondolewa kisultani
Mwambe hakuondolewa ila alijiondoa na kujiunga kwingine,mbona nae kaitwa bungeni?
Sijui Kwanini watu hatujaamua kuishi bila kuyategemea haya manasiasa!
Aliye tuletea siasa Afrika anatakiwa afe kwa kifo kibaya hata kama alisha kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote automatic ubunge hawana. Spika anafanya makosa kuingiza siasa kwenye maslah ya taifa. Leo hii ccm ikimtimua mbunge uanachama ndo utaona rangi halisi ya spika kutetea katiba ya kumtimua bungen huyo mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…