Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Oohh sorry ila Wasukuma nijuavyo ni watani zangu.Mpendwa mpendwa mpendwa. Una nini na Wasukuma? Wamekukosea nini? [emoji24][emoji24][emoji24]
Oohh sorry ila Wasukuma nijuavyo ni watani zangu.Mpendwa mpendwa mpendwa. Una nini na Wasukuma? Wamekukosea nini? [emoji24][emoji24][emoji24]
Ufafanuzi bomu huu. Nilikuwa nategemea maelezo deep aaargh!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Suuza vizuri kuna mabaki yanatoka ila ukoko wa chini mgumu hivyo loweka kwa maji safi asubuh utalioshaNimetoka kusonga ugali nusu saa iliyo pita, hilo sufuria nalioshea nini hadi ukoko utoke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Kwani kabila gani mpendwa? Ila ni kweli. Wasukuma ni watani wa Tanzania nzima !!!Oohh sorry ila Wasukuma nijuavyo ni watani zangu.
Mfungo wa jirani zetu lazima tuuheshimu shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufafanuzi utakaokuja sasa. Ngoja niagize na popukoni kabisa labda tu anko wako asiwe kwenye mudi ya kutoa huo ufafanuzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ufafanuzi bomu huu. Nilikuwa nategemea maelezo deep aaargh!!!
Nimeingia gharama ya kununua popukoni bure tu [emoji16][emoji16]
Walishasema picha ndiyo zinawakera zaidi. Maelezo wala hayana madhara. Fafanua pulizi [emoji1545][emoji87][emoji1545]Mfungo wa jirani zetu lazima tuuheshimu shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walishasema picha ndiyo zinawakera zaidi. Maelezo wala hayana madhara. Fafanua pulizi [emoji1545][emoji87][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naogopa ile "Astakafululahi" yao isije ikanitengua kitendea kazi changu
Sent using Jamii Forums mobile app