Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

29ebd786-8710-4728-8ced-0ffa9f40b8e0.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Habari za Mbagala shemeji? Nimeona picha umepiga maeneo ya Kijichi, kumbe bado watu hawajarudi barabarani?
Jilinde ili uwape urahisi wengine wa kukulinda.
Sio kila mwaka ni wa malengo, tule faida ya miaka mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbagala pale siyo Kijichi wala nini. Najilinda sana tena mno. Tumeruhusiwa sasa kutoka nje na kufanya vimazoezi kwa sababu vimazoezi navyo ni sehemu ya kinga. Cha muhimu tu ni kutosogeleana, kutogusa vitu hovyo hovyo na mengineyo huku barakoa na gloves kama kawa. Hapo nilitegea mchana wakati wa jua kali hakuna mtu kabisa nilikuwa peke yangu.

Kama alivyosema Jack Ma, mwaka huu lengo kuu ni kubakia hai; na mengine yote ni madogo. Mungu Atuwezeshe katika hili shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Yale yale aliyo sema binti mpole...
Nyama la mafuta hilo halafu mtu anakuambia "mkono" uvalishwe gloves... Hiiiiiii... Corona iniue tu sivai haki ya Mungu tena, kwanza hata nikifa nitajuaje kama nimekufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Esta. Anko wako huyo kaanza. Nimezivuta popukoni fasta. Sema tu sina soda bado [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Siasa zina wenyewe.
Tuwaachie wabobevu sisi tunapoteza fedha na muda bure.
Mwambe hakuondolewa ila alijiondoa na kujiunga kwingine,mbona nae kaitwa bungeni?
Sijui Kwanini watu hatujaamua kuishi bila kuyategemea haya manasiasa!
Aliye tuletea siasa Afrika anatakiwa afe kwa kifo kibaya hata kama alisha kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Mbagala shemeji? Nimeona picha umepiga maeneo ya Kijichi, kumbe bado watu hawajarudi barabarani?
Jilinde ili uwape urahisi wengine wa kukulinda.
Sio kila mwaka ni wa malengo, tule faida ya miaka mingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ankoo[emoji16][emoji16] najua unanipenda mimi anko wako hebu nifanyie wepesi hiyo picha uliyoiona basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ankoo[emoji16][emoji16] najua unanipenda mimi anko wako hebu nifanyie wepesi hiyo picha uliyoiona basi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anko una haja na picha kweli au unatania?
Kuna sehemu Ze Don kakuomba andazi lililonona na lenye sura mbaya alionje utamu wake... Nikajisemea tu hiiiiiii... andazi limepata mlaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia kwa ukaribu siasa za nchi hii unaweza kupata vidonda vya tumbo, presha na sukari.
Siasa zimenikinai.
Wale wote automatic ubunge hawana. Spika anafanya makosa kuingiza siasa kwenye maslah ya taifa. Leo hii ccm ikimtimua mbunge uanachama ndo utaona rangi halisi ya spika kutetea katiba ya kumtimua bungen huyo mbunge
 
Back
Top Bottom