Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anko una haja na picha kweli au unatania?
Kuna sehemu Ze Don kukuomba andazi lililonona na lenye sura mbaya alionje utamu wake... Nikajisemea tu hiiiiiii... andazi limepata mlaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣 Ankoo hebu rekebisha kabla hajarudi
 
Pale unapoangusha kisimu chako cha Tecno ulichopewa kama zawadi
FB_IMG_1589217237579.jpeg
 
Mweee basi niliona vibaya!!! Hakuomba kabisa?...niliona kama andazi/hafu keki kwenye sahani ya "Zambia" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namaanisha urekebishe masuala ya picha eboo...hayo maandazi kwenye sahani ya zambia mie hata siyajui. Usipindishe mada

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasema usinitishe... Usinitishe.... Usinitishe....
Picha nitarekebisha nitakapo ona andiko la Ze Don la kusifia utamu wa hafu keki yenye sura mbaya

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo nitataka picha ya nini na wewe anko? Yaani nipo na hard copy bado nililie soft copy we anko wa wapi jamani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom