Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
JF aisee ina mambo sana [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jamaa aliefukunyua mambo nampa heko kwamaana amejitahidi sana, na ametumia mda mwingi pia kumchimbua jamaa.
Bila shaka atakuwa CIA wa tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wuhuuuu [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1737][emoji1737][emoji1737][emoji1737]Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
Upo vizuri,ngoja nifate faida za nanasiWuhuuuu [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1737][emoji1737][emoji1737][emoji1737]
View attachment 1449205
Leo yaani Rahatupu wallahi....Hizi ni faida za kiafya za Kabichi.1) Inasaidi kupunguza mwili/mafuta mwilini.So kitaalamu kabichi ambayo ni nzuri na best kwa kupunguza mafuta mwilini ni ile unayoweza kula bila kupika wanaita raw cabbage,Zina amount nyingi sana ya insoluble fiber amabayo inasaidia kuharakisha mmeng’enyo wa chakula kwenye utumbo mdogo ,na utaweza kupata choo kirahisi ,na hazina calories nyingi kitu ambacho pia kitakusaidia ku loose weight.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo yaani Rahatupu wallahi....
View attachment 1449206
Nanasi ulishashusha. Ndo maana siku hizi nayafakamia balaa. Na machungwa. Na maji ya limau. Vitamin C mpaka iombe po[emoji16][emoji16]Upo vizuri,ngoja nifate faida za nanasi
Ila nimejaribu kupika kitu fulani hapa kimeungua. Nimegivapu !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Tunarudia masomo mpaka corona iiombe pooNanasi ulishashusha. Ndo maana siku hizi nayafakamia balaa. Na machungwa. Na maji ya limau. Vitamin C mpaka iombe po[emoji16][emoji16]
Nimezoom ila sijaelewa pishi. Chapati ama?Ila nimejaribu kupika kitu fulani hapa kimeungua. Nimegivapu !!!
View attachment 1449208
Jizazi....Wasukuma ni chuma cha pua, hawezi kuogopa jiwe liliojikalia tu wakati yeye mwenyewe naye ni jiwe[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ilikuwa chapati ya Kisukuma ila imeanza kuwa nene naisubirisha upande mmoja nakuja kuigeuza kwisha habari yake. Na dough nimelitupa kabisa. Kesho nitajaribu vitumbua [emoji16][emoji16][emoji16]Nim
Nimezoom ila sijaelewa pishi. Chapati ama?
Jizazi....
Angejikalia kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kapite katetemeko kadogo tu ka ardhi hapa....Karibu jijini MwanzaView attachment 1448890
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu daah. Ungeenda you tube ukapata maarifa zaidi dakika chache unakua mtaalam. Chapati ni nyepesi kuliko vitumbuaIlikuwa chapati ya Kisukuma ila imeanza kuwa nene naisubirisha upande mmoja nakuja kuigeuza kwisha habari yake. Na dough nimelitupa kabisa. Kesho nitajaribu vitumbua [emoji16][emoji16][emoji16]
Mie naona ni mtu mmoja kaamua kujiboost kwa fekeroAngejikalia kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaume wamemkalia kooni wanampopoa sawa sawa [emoji16][emoji16][emoji16]