Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
wow.....acha nipambane na kisimu changu kibovu.Hahahaha pole.
Sijawahi tumia JF kwa pc,ni mwendo wa simu tu tena browser
Pc imeenda wapi?wow.....acha nipambane na kisimu changu kibovu.
siku 4 bila ya kuangalia wakorea....
imeonyesha dalili ya kuungua, nimeipeleka kwa fundi lakini napigwa kalenda....njoo kesho, hapana hapana njoo asubuhiPc imeenda wapi?
Nikiwa safarini au ugenini naangalia kikorea kwa simu
biringanya ndio bilingani?Biringanya zina kiwamgo kikubwa cha vitamini B kuliko mboga za majai nyingine.
inaboa sana. Nilijikuta nazoea kikorea kwa simu baada ya pc kuharibika muda wa kusubiri nikapata mbinu mpya. Pole wapenda movie tunaifahamu hali hio ngumuimeonyesha dalili ya kuungua, nimeipeleka kwa fundi lakini napigwa kalenda....njoo kesho, hapana hapana njoo asubuhi
biringanya ndio bilingani?
kumbe lina faida kubwa sana, nikiliona ndani ya mchuzi nalitoa.