Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huyu naye sijui yupoje,sijui mgogo wa wapi huyu..wagogo sio vichaa hivi"Eti mtu mmoja ndani ya nchi hii anajifanya ana mamlaka ya kufukuza fukuza wabunge anavyotaka, hivi jina lake nani vile?"
"Nasema haiwezekani"
Spika NdugaiView attachment 1448142
Sent using Jamii Forums mobile app