myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMboga za majani ni mboga ambazo hazina gharama kubwa kiasi ambacho hata mtu wa hali ya chini anaweza kupata,
SawasawaMboga za majani ni mboga ambazo hazina gharama kubwa kiasi ambacho hata mtu wa hali ya chini anaweza kupata,
[emoji818][emoji818]Mboga za majani zote zina kitu kimoja muhimu sana,zinatoa nguvu kidogo na vitamin nyingi na madini zaidi ya vyakula vingine.
Kweli..Chombo kinachotumika kupikia kinabidi kiwe kimefunikwa na kifuniko ili isipoteze vitamin C.
Aiseetangazo tangazoooooooo
BAK amerudiiiiiiiii.
.kumbe ni mzimaaaaaa
hajatekwaa kama walivyovumisha wapinzani wakeee
Wiki mbili nyuma nikiwa safarini niliona wingu Kama hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na nyie huko kwenu mpaka maharage yamegawanyika makabila...
maharage ya wachaga
maharage ya wasukuma
maharage ya mbeya