Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Huyu naye sijui yupoje,sijui mgogo wa wapi huyu..wagogo sio vichaa hivi"Eti mtu mmoja ndani ya nchi hii anajifanya ana mamlaka ya kufukuza fukuza wabunge anavyotaka, hivi jina lake nani vile?"
"Nasema haiwezekani"
Spika NdugaiView attachment 1448142
na nyie huko kwenu mpaka maharage yamegawanyika makabila...Huyu naye sijui yupoje,sijui mgogo wa wapi huyu..wagogo sio vichaa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkorea una vituko.sura za kazi zilehivi huko marekani hakuna waigizaji mahandsome boys......series zote alizonipa ningendako basi waigizaji wake wana sura ngumu
mapenzi yao makubwa ni kiss na sexy....hawavutii....hawabembelezi....hawana muda wa kula....hawana muda wa jokes.....muda wote wapo serious utafikiri wanapigania uhai wa ulimwengu.Mkorea una vituko.sura za kazi zile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapenzi yao makubwa ni kiss na sexy....hawavutii....hawabembelezi....hawana muda wa kula....hawana muda wa jokes.....muda wote wapo serious utafikiri wanapigania uhai wa ulimwengu.
huyo wa kwenye avatar eti pia ni steringi....korea idumu mileleee...
Huyu naye sijui yupoje,sijui mgogo wa wapi huyu..wagogo sio vichaa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
battery low[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]