Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kama watajaribu kulala mchana lakini mara nyingi huwa wanalala kidogo na hawawezi kupata usingizi mzuri kama ambao wangeweza kuupata usiku.Na matokeo yake ni kufanya kazi wakiwa na usingizi na kupata madhara ya kiafya.
 
Ni wanasiasa wangapi na wafanyabiashara utawaskia wakijigamba vile wanalala kwa muda mfupi?
Kukosa kulala usingizi wa kutosha husababisha madhara kwa ubongo wetu na miili yetu pia.
Matthew Walker ni professor ya saikolojia huko UC Berkely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…