Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Umetumwa dukani mafuta ya taa ya 500 hlf unaamua kupitia sehemu unanunua barafu ya 50 kwanza.Kimbembe kinakuja dukani hawana mafuta ya taa πππππ8: Ukitumwa dukani ukachelewa kurudi unapigwa
Kwani bro huko huwa hamkaangi? Raha ya samaki kukaangwaEzi yujooo kujipikilisha taimu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1450507
Kitoooooo salama,za huko?
Tupoooo
Rais wa Mbeya huyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Shida mafuta. Napambana na mafuta [emoji16][emoji16]Kwani bro huko huwa hamkaangi? Raha ya samaki kukaangwa