Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nakutakia asubuhi njema na usikivu kwa kila yoyote atakaye hitaji kukueleza jambo katika siku ya leo. Kila mmoja wetu ana kitu kizuri kwa ajili yako, jifunze kuwasikiliza uweze kunufaika kutoka kwa wengine.