D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 umewaza mbali. Hapa ndo home sweet homeMtu umechoka, stress kibao kichwa kinawaka moto... Unaamua kuja hapa kijiweni, una kutana na maongezi ya hawa watu:-
SHIMBA YA BUYENZE vs Khantwe ... Ni mwendo wa malumbano tu japo ni watu wanao pendana sana
Khantwe vs Cole Williams maswali yao na majibu havioani kabisa utadhani ni wana ndoa walio fumaniana
Daemusin vs SHIMBA YA BUYENZE mwanzo mwisho ni kejeli kwa wasuku [emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa vs SHIMBA YA BUYENZE za uso ni kawaida kwao, kama kuna amani basi binti mpole ni kucheka tu
Kweli tiba sio lazima kuonana na daktari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa huu wa corona ni vita kama vita nyingine, wakati unaanza nilisema siwezi kuruhusu lockdown, imagine unafungiwa ndani hupati hata nafasi ya kuonana na Mkeo?, unafungiwa ndani eti usitembee usiku kana kwamba corona inatembea usiku tu, nikasema hapana” -JPM
Daah nimejikuta nacheka. Sijui shida ilipo. Ila mie huwa nakonda hadi kichwaNumbiee na sie tukipata stress tunakonda na kubaki kichwa huwa ni nn ?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhahha kichwa chako kinakonda pia ??? basi ni hatariDaah nimejikuta nacheka. Sijui shida ilipo. Ila mie huwa nakonda hadi kichwa
Yaan cha kwanza watu kugundua ni kichwa kukonda 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
pole sanaYaan cha kwanza watu kugundua ni kichwa kukonda [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]