Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,361 Kitu cha TANO tambuwa banda la vifaranga linatakiwa maranda ili kuongeza joto.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,362 Kitu cha SITA tambuwa vifaranga vinatakiwa vifungiwe ndani kwa miezi miwili pekee.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,363 Kitu cha SABA vifaranga havitakiwi kushikwa shikwa na mikono yako kila siku.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,364 Kitu cha NANE vifaranga vinatakiwa kulishwa starter (nafaka nyembamba) na maziwa kwa kiasi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,365 Kitu cha TISA banda la vifaranga linatakiwa liwe safi marakwamara ili kupunguza kutokea kwa magonjwa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,366 UJUMBE usikate tamaa katika ufugaji mana hakunaga mwanzo mrahisi, changamoto ni mapito tu, jiamini mana hata wewe unaweza
UJUMBE usikate tamaa katika ufugaji mana hakunaga mwanzo mrahisi, changamoto ni mapito tu, jiamini mana hata wewe unaweza
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 May 17, 2020 #1,168,367 Numbisa said: Kitu cha NANE vifaranga vinatakiwa kulishwa starter (nafaka nyembamba) na maziwa kwa kiasi. Click to expand... [emoji818][emoji818]
Numbisa said: Kitu cha NANE vifaranga vinatakiwa kulishwa starter (nafaka nyembamba) na maziwa kwa kiasi. Click to expand... [emoji818][emoji818]
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,368 Msinihukumu kwa mafanikio yangu, nihukumuni kwa mara ngapi nilianguka na kuinuka tena.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,369 Mimi si mtakatifu, labda ukimfikiria mtakatifu kuwa mwenye dhambi asiyeacha kujitahidi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,370 Chuki hufunga akili. Inazuia ubunifu wowote wa mbinu. Viongozi hawana nafasi ya kuchukia
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,371 Kama wanaweza kujifunza kuchukia, basi wanaweza kufundishwa kupenda, kwa sababu kwa kawaida ni asili yake upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu kuliko kinyume chake
Kama wanaweza kujifunza kuchukia, basi wanaweza kufundishwa kupenda, kwa sababu kwa kawaida ni asili yake upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu kuliko kinyume chake
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,372 Hakuna aliyezaliwa awe na chuki…Nelson Mandela
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,373 Watu wenye ujasiri hawaogopi kusamehe kwa ajili ya amani”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,374 Utafanikiwa vingi katika dunia hii kupitia matendo ya rehema kuliko kwa matendo ya kuadhibu watu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,375 Michezo inaweza kuamsha matumaini pale ambapo awali palitawaliwa na kukata tamaa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,376 “Ongoza kutokea nyuma -na wafanye wengine waamini wao ndio wako mbele.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,377 “Mara zote huonekana haliwezekani mpaka lifanikiwe.”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,378 Mtu mwenye akili si yule anayejisikia kuogopa, bali yule aushindaye woga. – Nelson Mandela, katika kitabu chake cha Long Walk To Freedom, 1994
Mtu mwenye akili si yule anayejisikia kuogopa, bali yule aushindaye woga. – Nelson Mandela, katika kitabu chake cha Long Walk To Freedom, 1994
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,379 “Heshima ni kwa wale wasioupa mgongo ukweli, hata pale mabo yanapoonekana kufunikwa na giza na kutokufurahisha” -Nelson Mandela
“Heshima ni kwa wale wasioupa mgongo ukweli, hata pale mabo yanapoonekana kufunikwa na giza na kutokufurahisha” -Nelson Mandela
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 May 17, 2020 #1,168,380 “Kwa sababu kuwa huru si tu kutupa minyororo, bali kuishi katika namna inayoheshimu na kukuza uhuru wa wengine.”
“Kwa sababu kuwa huru si tu kutupa minyororo, bali kuishi katika namna inayoheshimu na kukuza uhuru wa wengine.”