Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila nikianzisha hoja tayari kesharukia Wasukuma siyo watu wakati Wakinga wenyewe wanachotuzidi ni uchawi tu. Nitamnyorosha !!!
Hii ugonjwa haiwezi isha. Ile kitu iko ni, serikali ikubali watu warudi kazini na tujifunze kukalisha nayo.Nimeona aisee. Hongera sana. Bila shaka mtashinda hii vita ya Korona [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hata WHO wameshauri hivyo hivyo.Hii ugonjwa haiwezi isha. Ile kitu iko ni, serikali ikubali watu warudi kazini na tujifunze kukalisha nayo.