moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda nakuonea huruma mzee mwenzangu japo mengi yakukutayo ni ya kujitakia kwa asilimia 100. Ila huyo japo ukaribu wenu hauja anzia hapa, mliko toka hakika kuna jambo halikuwa sawa.
Mungu ni mwema hiyo ndio tiba tuipatayo hapa jukwaani kwa kucheka na kufurahia mtifuano
Ila kuna watu wanaumiza nafsi yangu sana, kuna huyu mzee wa pwani na JIRANI, zile salaam za pole zinazo husiana na kilimo huwa zinajibiwa kwa picha mwanana,zenye afya lakini kiuhalisia shambani hali ni mbaya tofauti na picha anazozitupia mzee wa pwani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtandaoni hapa kila kitu kiko sawa. Naweza kuwa sina hata buku lakini hapa ni kujifaragua mwanzo mwisho. Yaani niwe masikini mtaani na mtandaoni pia? Nevaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee, tunalimia mitandaoni [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji818][emoji818]Hakuna aliyezaliwa awe na chuki…Nelson Mandela
Sawasawampende akupendaye asiyekupenda achana naye.
Wamekutana na marais visiki, msimamo wa Tanzania, Madagascar na wale wote walio agiza kikombe cha Madagascar wameharibu kila kitu kwenye biashara yaoShwaini zao wajinga hawa !!!
View attachment 1452735
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1452679
Gari gani hiyo haina derevaHayo magari outo bila dereva
kIongOzI Wa BaaDae