Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Huyu wetu ni kama anataka apewe misaada tu ya pesa ndiyo waendelee kuzikula na wandogo wake wa huko state house..na wakati huu biashara za wengine zinaendelea zikiharibika tu.Kuna nchi hapa Afrika mashariki zilishashindwa vita ya corona lakini wanajitutumua angalau waonekane ni watu wa maana mbele ya mataifa mengine.
Nchi ya Uganda iliweka Lockdown siku walipopata mgonjwa wao wa kwanza tu.
Leo ina wagonjwa zaidi ya mia moja wanadai watalegeza masharti ya Lockdown.
Dalili zinaonyesha wataruhusu kila kitu siku chache zijazo hata wakipata wagonjwa 500.
Kwenye suala hili namuunga mkono mh rais Magufuli.
Hiyo Ni kawaidaNilipokuwa mdogo nilitamani kuwa mkubwa
Nimekuwa mkubwa Sasa natamani kuwa mdogo
Sawa mkuuHiyo Ni kawaida
Jikubali vile uko na pahali uliko.
Duh!![emoji91][emoji91][emoji91]. This cougar right here [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1453041
✔✔2) Paka wengi ni mashoto kwa maana miguu yao ya kushoto ndio hutawala katika shughuli zao nyingi
AiseeMrs Feodol Vasslyev alizaliwa mwaka 1707 Shurya nchini Urusi. Ni mwanamke aliyeshika rekodi ya kuzaa watoto wengi zaidi duniani watoto 69 na ameingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia GUINNESSAlizaa mapacha wawili Mara 16, watatu ×7 na wanne ×4