Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Salama kabisa..kwako je
Hili lilikuwa wazo zuri kama viongozi wa Afrika wangelishupalia. Wamepoteza nafasi nzuri ya angalau kupunguziwa riba ya mzigo huu wa madeni.
Tuwekee kapicha kake.IJUE MELI KUBWA INAYO SHIKA REKODI.
Mv OASIS OF THE SEA ndiyo meli kubwa ambayo ni mara 5 ya meli ya Titanic.
[emoji117]Utengenezaji wake 12/11/2007 kukamilika 28/10/2009. Ilianza kutumika 5/12/2009.
[emoji117]Ina urefu 361.6mita(1186.5futi), Kimo cha urefu wa 72mita(236futi).