Paka aliyepewa jina la "Towser" ndie anaeshikilia rekodi ya kukamata Panya wengi zaidi kwa kipindi chote cha maisha yake. Alizaliwa mwaka 1963 hadi anafariki mwaka 1980 alikamata Panya 28,899 wastani wa Panya 3 kila siku. Alikuwa anamilikiwa na kiwanda cha pombe.