Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
USITUMIE dawa yoyote bila kuwa na maelezo yake sahihi,na ikitokea umenunua dawa kisha ukasahau matumizi yake USIINYWE,rudi ulikoichukulia upewe maekezo yake.Mambo haya yote yakishindikana basi itupe kabisa.Matatizo yanaweza yasitokee kwako moja kwa moja lakini yakaja kutokea kwa vizazi vyako.Chukua tahadhari leo