Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20200519-WA0065.jpg
 
Asee, mizimu ya kiafrika inafanya yake[emoji849]
Majira ya vimbunga yanaanza rasmi Juni 30 mpaka Novemba 30. Wakati huo ndiyo majira ya joto na maji ya bahari ya Atlantiki yakipata joto tu mvuke unavuvumka unagongana na pepo kavu zinazotoka hukoo Afrika ya Magharibi basi kimuhemuhe kinaanza. Kuna imani kuwa pepo hizo pamoja na vimbunga eti hufuata njia ile ile iliyokuwa ikitumiwa na meli za wazungu wakati wa biashara ya watumwa. Mizimu ya Kiafrika inajilipiza kisasi !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe naye ana wafuasi wake wanaofuata nyimbo zake[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa haeleweki sometimes. Ni sawasawa tu na wa kwetu. Madaktari na tafiti zimeonyesha kuwa wagonjwa wa Korona wanaopewa Klorokwini wana hatari ya kufa zaidi na kuwa haisadii cho chote. Na kibaya zaidi hata wanaopona wengi wanakuwa na matatizo makubwa ya moyo japo hawajajua jinsi dawa hii inavyosababisha madhara hayo kwenye moyo. Huyu jamaa yeye kaikomalia na matokeo yake wafuasi wake wanakunywa pia ili kujikinga. Huko nyuma alisema watu wanywe/wajidunge madawa ya kufanyia usafi yanayoua virusi na kweli wafuasi wake wakaanza kufanya hivyo. Ni vurugu tupu !!!
 
Si kwa cheko hili wallahi. Mpaka nimevuta taswira ya kilichokuchekesha. Esta bana. Uanonimazi unakunyima mengi sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nikose kuliko kutandikwa vibao
 
Back
Top Bottom